Skip to main content
Skip to main content

Unyanyasaji wa Polisi: Asilimia 43 ya wakenya wathirika, Kisumu yaongoza

  • | Citizen TV
    1,542 views
    Duration: 2:39
    Ripoti maalum ya shirika la wanaharakati, International Justice Mission, IJM, imebainisha kwamba asilimia 43 ya Wakenya wameripoti visa vya unyanyasaji mikononi mwa Polisi. Hatahivyo asilimia 62 ya walionyanyaswa hawakuripoti visa hivyo huku kaunti ya Kisumu ikiongoza kwa visa vya malalamishi ya unyanyasaji mikononi mwa Polisi.