Upatikanaji wa elimu bora katika mitaa ya mabanda jijini Nairobi bado ni changamoto

  • | K24 Video
    24 views

    Upatikanaji wa elimu bora katika mitaa ya mabanda jijiini Nairobi bado ni changamoto. licha ya sera ya elimu ya bure, shule za umma zilizojaa kupita kiasi bado zinatoza karo. isitoshe kufuatia uhaba wa shule za umma, wanafunzi hulazimika kusafiri masafa marefu ili kupata masomo katika shule za umma. Aidha baadhi ya wazazi huwapeleka watoto wao katika shule binafsi za gharama nafuu, ila uwasilishaji wa elimu ubora ni tashwishi. pendekezo la mfumo wa usafiri litaziba pengo la ukosefu wa usawa katika elimu bora kwa wote