Urafiki na bundi.

  • | BBC Swahili
    442 views
    Katika maeneo mengi bundi huchukuliwa kuwa ndege wa bahati mbaya, "ishara mbaya" au "uchawi". Lakini kwa Elhadj Mbow, mtaalamu kompyuta anayeishi Thiès Huko nchini Senegal kwake ni tofauti, ameweza kupingana na imani hizo zote za kitamaduni. Hapa anaelezea jinsi alivyoweza kumpata bundi ambaye alimuokoa wakati akipigwa mawe na watoto wa jirani yake. #bbcswahili #senegal #ndege Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw