Usaili wa makamishna wa IEBC waendelea

  • | KBC Video
    8 views

    Aliyekuwa kamishna wa tume ya taifa ya utangamanno na mshikamano wa taifa na mwanachama wa bodi ya halmashahuri wa kutathmnini utendakazi wa polisi , IPOA, Fatuma Mohamed ameliambia jopo la uteuzi wa makamisha wa IEBC kuwa atashirikisha vyombo vya habari na kuunga mkono azma yao ya kuwa na kituo sambamba cha kuhesabu kura iwapo atateuliwa kuwa kamishna wa tume hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News