Usimamizi wa TUK wakiri chuo hicho kimefilisika

  • | Citizen TV
    450 views

    Chuo cha TUK kimekabwa na madeni chungu nzima

    Chuo hicho hakijalipa mishahara tangu mwaka 2013

    TUK inahitaji shilingi milioni 270 kila mwezi kulipa mishahara