Utata washuhudiwa wakati wa ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    1,085 views

    Ujenzi wa Barabara ya kilomita 23 ya kutoka Kuresoi_Samburet hadi Chagaik katika Kaunti ya Kericho ilisitishwa kwa muda baada ya kusitishwa na polisi wanaolinda kampuni za chai