Vibanda kwenye soko la Posta Busia vyateketea

  • | KBC Video
    4 views

    Wafanyibiashara katika soko la Posta mjini Busia wanakadiria hasara baada ya vibanda kadhaa kwenye soko hilo kudaiwa kuteketezwa na watu wasiojulikana. Wafanyibiashara hao walioghadhabika wametaka wito kwa vitengo vya usalama kuimarisha usalama sokoni humo. Wafanyibiashara hao wanalaumu usimamizi wa soko hilo wakisema umechangia kudorora kwa usalama katika soko la Posta. Maafisa wa polisi kutoka kituo cha Busia wameshika doria kwenye soko hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive