Vijana Barani Afrika wataka mataifa ya G20 kusaidia elimu ya chekechea

  • | Citizen TV
    82 views

    Vijana Barani Afrika Wanayataka Mataifa Ya Ughaibuni Husan Wanachama Wa G20 Kusaidia Elimu Ya Chekechea Barani Afrika Ili Kuleta Usawa Huku Wakisema Thuluthi Moja Ya Watoto Barani Afrika Inatoka Katika Jamii Maskini