Vijana Mombasa washauriwa kuwajibika

  • | Citizen TV
    458 views

    Vijana kaunti ya mombasa wameshauriwa kujituma Na kuwajibika ili kutafuta ajira badala ya kujihusisha Na uhalifu. Baadhi ya Vijana wameanza kuwa mfano mwema kwa kukumbatia mazoezi Na michezo mitaani, hali wanayosema imebadilisha mkondo wa maisha Yao.