Vijana na kina mama wahimizwa kujihusisha na kilimo

  • | Citizen TV
    90 views

    Vijana na kina mama katika kaunti ya Nyamira wamehimizwa kukumbatia kilimo biashara, kama njia moja ya kujiajiri na kupata riziki.