Vijana na wanaharakati wapanga maandano Jumatatu

  • | Citizen TV
    1,924 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu , vijana pamoja na walioachiliwa baada ya kutekwa nyara, wamesisitiza kuwa maandamano yaliyoratibiwa kufanyika siku ya jumatatu yataendelea. Wakisema maandamano hayo yamepangwa kuishurutisha serikali kueleza waliko makumi ya vijana waliotekwa nyara. Tofauti na maandamano ya mwezi Juni wanasema maandamano hayo yatakuwa mitaani na mitandaoni kote nchini.