Vijana wa Kenya wahimizwa kusoma lugha za kigeni

  • | KBC Video
    34 views

    Ubalozi wa Ufaransa nchini Kenya na usimamizi wa Kituo cha Kijamii na Kitamaduni cha Mama Grace Onyango mjini Kisumu wametia saini Mkataba wa Maelewano kuhusu kusoma na kutahiniwa kwa lugha za Kifaransa na Kijerumani katika kituo hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive