Skip to main content
Skip to main content

Vijana wanakumbwa na dhuluma za kijinsia na mimba za utotoni Kilifi

  • | KTN News
    141 views
    Duration: 2:55
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Kaunti ya Kilifi ni moja wapo ya kaunti 47 zinazokabiliwa na mzigo mkubwa wa dhuluma za kijinsia na mimba za utotoni, kutokana na hali ya umaskini, mila potofu na mifumo duni katika afya ya kijamii. Takwimu za hivi majuzi zinaonyesha kuwa kufikia Oktoba 2024, zaidi ya wasichana 7,000 katika Kaunti ya Kilifi walikuwa wamejifungua wakiwa na umri mdogo. Ingawa idadi hiyo imepungua hadi wasichana 4,500 mwaka huu, idadi hiyo bado inasalia kuwa juu. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kima cha shilingi bilioni 2.3 wa kuimarisha hatua za kupiga vita dhuluma za kijinsia Kaunti ya Kilifi kwa muda wa miaka saba, Naibu Gavana wa Kaunti ya Kilifi Flora Chibule alielezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa visa vya dhuluma za kingono, akiwaonya wazazi kuwa makini kuwalinda watoto wao haswa wakati huu wa likizo ndefu Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews