Vijana zaidi ya 10 wametoweka mwezi wa Disemba pekee

  • | Citizen TV
    2,263 views

    Mtazamaji, Vijana zaidi ya 10 wameripotiwa kutoweka katika mwezi huu wa Desemba pekee, hofu kuhusu kuongezeka kwa visa vya utekaji nyara ikizidi kugubika taifa. Vijana hao wenye umri wa kati ya miaka 20 na 35 walikamatwa Katika siku tofauti na watu wasiojulikana ambao nia Yao imesalia kuwa kitendawili. Na kama anavyotuarifu Serfine Achieng' Ouma familia zao zinazadi kufadhaika zisijue waliko wapendwa wao.