Vijana zaidi ya elfu moja wapata mafunzo kuhusu athari za madawa za kulevya kutoka shirika la NACADA

  • | NTV Video
    22 views

    Kutokana na ongezeko la utumiaji wa dawa za kulevya mashinani ….Zaidi ya vijana elfu moja kutoka kaunti ya homabay wamepata mafunzo katika eneo la oyugis kuhusiana na athari zinazoletwa na dawahizo….Vijana hao wengi wao wakiwa ni wanabodaboda walielimishwa na maafisa kutoka shirika la NACADA....

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya