25 Oct 2025 7:36 pm | Citizen TV 3,085 views Duration: 3:02 Viongozi wa kidini wamewataka wenzao wa kisiasa kupunguza joto la kisiasa linaloshuhudiwa nchini kwa sasa, wakionya linatishia kuvuruga amani na kuwafukuza wawekezaji wanaofika nchini kwa biashara.