Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dini wataka juhudi zaidi kupitia uongozi wa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    576 views
    Duration: 2:46
    Viongozi wa makanisa kutoka maeneo mbalimbali wametaja swala la ufisadi, changamoto katika sekta ya Afya na atiati katika sekta elimu kama baadhi ya masuala yanayotia doa uongozi wa Rais William Ruto, miaka mitatu baadaye.Viongozi hao wamemtaka Rais kuwajibikia changamoto zilizoko na kuimarisha maisha ya wakenya.