Viongozi wa Kenya Kwanza waapa kuendelea kuchangisha pesa makanisani licha ya pingamizi

  • | Citizen TV
    856 views

    Hayo Yakijiri, Viongozi Wa Kenya Kwanza Wameapa Kuendelea Kuchangisha Pesa Makanisani Licha Ya Pingamizi Za Baadhi Ya Makanisa Na Wakenya. Viongozi Hao Waliozungumza Wakati Wa Kuchangisha Pesa Kwa Makanisa 25 Katika Eneo La Kiplombe Kaunti Ya Uasin Gishu Walisema Wataendelea Na Jukumu Lao Kama Wakristo, Kama John Wanyama Anavyoarifu