10 Sep 2025 10:12 am | Citizen TV 467 views Duration: 2:24 Wahudumu wa bodaboda wameshauriwa kufuata sheria za trafiki na kuunga mkono hatua za serikali za mpango wa kuwawezesha.