Viongozi wa kidini kuandaa maandamano kufuatia uamuzi wa mahakama kuhusu mahusiano ya jinsia moja

  • | Citizen TV
    2,986 views

    Viongozi wa kidini katika kaunti za Kilifi na Kisii wanasema wana mipango ya kuandamana kulalamikia uamuzi wa juma lililopita wa mahakama ya upeo kuhusu utangamano wa watu wenye uhusiano wa jinsia moja. Haya yanajiri huku hisia zikitolewa kutoka kwa makundi mbalimbali ya kidini nchini.