Viongozi wa Kidni kutoka jamii za wafugaji waungana kwa jitihada za kumaliza mizozo ya kijamii

  • | NTV Video
    72 views

    Viongozi wa kidini kutoka kaunti za Laikipia, Isiolo, Samburu na Marsabit wameungana na washikadau wengine katika jitihada za kumaliza mizozo ya kijamii ambayo imekuwa ikikumba kaunti hizi za wafugaji mara kwa mara.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya