Viongozi wa Kiislamu waandaa kambi ya matibabu

  • | Citizen TV
    60 views

    Huku Wakenya wakijiandaa kuhamia katika bima ya matibabu ya SHA, viongozi wa kidini jijini Nairobi wameandaa kambi ya afya bila malipo