Viongozi wa UDA waonya kuhusu ukabila

  • | Citizen TV
    206 views

    Viongozi wa chama cha UDA kutoka kaunti ya Homa bay wamewaonya viongozi wanaoeneza siasa za chuki na ukabila wakisema mambo hayo yatawagawanya wananchi na kulemaza mipango za maendeleo