Viongozi wa upinzani wamtaka Rais kuwajibika

  • | Citizen TV
    974 views

    Baadhi ya viongozi kutoka mrengo wa Azimio kaunti ya Trans Nzoia wamemsihi Rais William Ruto kuhakikisha serikali yake inafanya maendeleo kote nchini, huku wakielezea hofu kuwa huenda Rais pia akapanduliwa mamlakani kama aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, iwapo hatatimiza ahadi zake kwa wananchi.