Viongozi wapya wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wachaguliwa

  • | KBC Video
    41 views

    Wafugaji wa ngombe wa maziwa katika eneo la Githunguri katika kaunti ya Kiambu wametoa wito kwa viongozi wao kukikinga chama chao cha ushirika kutokana na malumbano ya kisiasa ambayo huenda yakavuruga mafanikio yaliyoafikiwa katika kuwalinda wakulima wadogo wadogo. Leo wafugaji hao waliwachagua maafisa wa kuwaongoza katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkubwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive