Viongozi Waunga Mkono Ruto Laani Mbinu Za Rigathi Gachagua Za Kikabila

  • | K24 Video
    267 views

    Viongozi Wanaomuunga Mkono Rais William Ruto Sasa Wanalaani Mbinu Anazotumia Rigathi Gachagua Kuikashifu Serikali Wakidai Anaendeleza Siasa Za Kikabila Na Kujaribu Kuvuruga Umoja Wa Taifa. Viongozi Hao Aidha Wamesifia Eneo La Mlima Kenya Kwa Kumkaribisha Rais Kwa Moyo Mkunjufu katika Ziara Aliyohitimisha Hiyo Jana Eneo Hilo.