Vipande vya maiti ya mwanamke vyapatikana ndani ya magunia Likoni, Mombasa

  • | Citizen TV
    1,691 views

    Mwili wa mwanamke umepatikana umetupwa katika magunia mawili mtaani aprroved likoni kaunti ya mombasa. Mwanamke huyo hajatambuliwa alikuwa amekatwa viganja vya mikono, shingo na miguu na kuwekwa kwenye magunia ya taka kando ya nyumba moja.