Visa vya wizi wa vipuri vya magari vyakithiri Kajiado

  • | Citizen TV
    446 views

    Polisi mjini Kajiado wamehimizwa kuongeza juhudi za kukabiliana na Ongezeko la Visa vya wizi wa vipuri vya magari ambavyo vinaendelea kushuhudiwa katika eneo hilo