Vurugu ilishuhudiwa mazishini Mumias

  • | NTV Video
    3,787 views

    Vurugu zimeshuhudiwa katika mazishi ya aliyekuwa chifu wa lokesheni ya chibanga wadi ya mayoni eneo bunge la Matungu, Kaunti ya Kakamega.

    Wafuasi wa Gavana wa Kakamega, aliyekuwa Waziri wa Michezo Rashid Echesa, na Mbunge wa Matungu, Peter Nabulindo, walihusika katika makabiliano hayo huku wakirushiana viti, hali iliyosababisha familia kulazimika kuondoa mwili wa marehemu kuelekea mazishini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya