Vurugu zazuka katika bunge la kaunti ya Nyamira kutokana na mzozo wa uongozi

  • | Citizen TV
    364 views

    Vurugu zilizuka Jumanne asubuhi katika bunge la kaunti ya Nyamira kutokana na mzozo wa uongozi.