Vyuo vikuu vyapokea shilingi bilioni 3.32 kufadhili elimu

  • | KBC Video
    31 views

    Chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu humu nchini-KUSO kimethibitisha kupokea shilingi bilioni 3.32 za ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wa mwaka wa kwanza na wa pili kwa kalenda ya masomo ya mwaka 2024/25. Wanafunzi wa vyuo vikuu waliipongeza serikali kwa kuchukua hatua hiyo wakati mwafaka na kuwezesha masomo kuendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive