Wabunge wa Azimio wazua kizaazaa bungeni

  • | Citizen TV
    12,372 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa bunge la kitaifa tena leo, wabunge wa Azimio la Umoja One Kenya wakiondoka kwa hamaki, baada ya Spika Moses Wetangula kutangaza kwamba kenya kwanza ndio yenye wabunge wengi bungeni. Uamuzi wa wetangula ukiwa tofauti na ile uliotolewa na mahakama wiki jana.