12 Sep 2025 7:13 pm | Citizen TV 2,796 views Duration: 1:39 Rabsha ilizuka katika hafla ya mazishi kule kitutu Chache Kaskazini baada ya wabunge Japheth Nyakundi wa Kitutu Chache North kukabiliana na kurishiana makonde na mwenzake wa Kitutu Chache South Antony Kibagendi.