Wabunge wakusanya sahihi kushinikiza kubanduliwa kwa Linturi

  • | KBC Video
    72 views

    Takriban wabunge 110 wa bunge la taifa wametia sahihi ombi la kuunga mkono hoja ya kumbandua afisini waziri wa kilimo Mithika Linturi. Mbunge wa Bumula Jack Wamboka, tayari amewasilisha arifa ya hoja ya kumwondoa afisini Linturi kwa afisi ya spika, huku hoja hiyo ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni juma lijalo. Gichuki Wachira anaarifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive