Wadau wataka vijana washirikishwe kwenye afya ya uzazi

  • | KBC Video
    35 views

    Wadau wa sekta ya afya ya uzazi wanatoa wito wa kuondolewa kwa kigezo cha umri kwa watu wanaotafuta huduma za afya ya uzazi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo hasa miongoni mwa vijana. Pendekezo hilo tayari limeibua cheche za mjadala huku maafisa wa wizara ya afya badala yake wakipendekeza uhamasishaji zaidi wa vijana kuhusiana na haja ya kujiepusha na vitendo vya kimapenzi. Nancy Okware na maelezo kwa kina kuhusiana na pendekezo hilo ambalo linaonekana kuibua mdahalo kuhusu afya ya uzazi miongoni mwa vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive