Wafanyabiashara-8 wakamatwa Machakos wakitumia mifuko ya plastiki

  • | KBC Video
    152 views

    Maafisa wa halmashauri ya usimamizi wa mazingira wamewanasa wafanyabiashara wanane katika eneo la Kyumbi, kaunti ya Machakos kwa madai ya kutumia mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News