10 Sep 2025 10:35 am | Citizen TV 303 views Duration: 1:55 Wafanyabiashara Wadogowadogo Kutoka Mji wa Meru Wanataka Mswanda wa Marekebisho wa Kudhibiti Uuzaji na Matumizi ya Tumbaku Ulioko katika bunge la Seneti Kusitishwa na Mchakato huo Kuanza upya.