Wafanyibiashara walalamikia vyuma kutoka nje ya nchi

  • | Citizen TV
    40 views

    Wafanyibiashara wa vyuma vikukuu nchini wamelalamikia kile wanadai ni kuongezeka kwa vyuma vinavyotoka nje ya taifa wakisema hali hii imeathiri biashara zao na kuharibu bei ya bidhaa hizo