Wafuasi wa wanasiasa wakabiliana na kutatiza mazishi

  • | KBC Video
    144 views

    Ghasia zilizuka katika Wadi ya Mayoni eneo bunge la Matungu, Kaunti ya Kakamega, baada ya wafuasi wa Gavana wa Kaunti ya Kakamega Fernandez Barasa, wale wa aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa na wale wa mbunge wa Matungu Peter Nabulindo kuzozana na kutatiza ibada ya mazishi ya aliyekuwa chifu wa lokesheni ya Chibanga.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive