Wafugaji wageukia kilimo Samburu

  • | KBC Video
    5 views

    Wafugaji katika kaunti ya Samburu wamehimizwa kugeukia kilimo ili kuimarisha uzalishaji chakula na kukabili tisho la njaa ambalo hukumba eneo hilo mara kwa mara wakati wa kiangazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News