Wagonjwa wameendelea kuhangahika kuhudumiwa hospitalini.

  • | Citizen TV
    176 views

    Baadhi ya wakenya wanaotumia huduma za bima ya afya ya SHA wameendelea kulalamikia kuhangaikia malipo huku sasa halmashauri ya bima hii ikipuuza athari za kukatizwa kwa huduma katika hospitali za kibinafsi