Wahadhiri wa vyuo vikuu wamegoma kwa siku ya pili

  • | Citizen TV
    185 views

    Mgomo wa wahadhiri na wafanyikazi wa vyuo vya umma umeingia siku ya pili leo licha ya agizo la mahakama kuwataka kusitisha mgomo huo.