Wahubiri waitaka serikali kukomesha utekaji nyara

  • | Citizen TV
    1,469 views

    Waumini kutoka madhebu mbalimbali nchini walitumia ibada ya jumapili hii ya mwisho wa mwaka kutoa wito kwa serikali kuhakikisha mwaka ujao una mabadiliko. Viongozi wa kidini wakikashifu utekaji nyara nchini huku wakizitaka idara za usalama kuukomesha na kuwahakikishia wakenya usalama wao.