Wahudumu wa matatu walalamikia kuvamiwa na wahalifu.

  • | Citizen TV
    519 views

    Muungano Wa wamiliki Wa matatu mjini Malindi katika Kaunti ya Kilifi umekashifu vyombo vya usalama pamoja Na ofisi ya mkurugenzi Wa mashataka ya Umma ODPP kwa madai ya utepetevu