Waislamu kuanza mfungo wa Ramadhan kesho

  • | KBC Video
    394 views

    Waislamu humu nchini watajiunga na wenzao kote ulimwenguni kuanza kuadhimisha mwezi mtakatifu wa Ramadhan. Kipindi hicho cha mwezi mmoja kinachojumuisha kusali na kufunga kitaanza kesho. Wakati wa kipindi hicho , waumini waislamu watafunga kutoka asubuhi hadi jioni. Jijini Nairobi viongozi katika misikiti mbalimbali waliwataka waumini kutoa msaada wa chakula kwa familia zisizoweza kujimudu ili kuhakikisha zinaadhimisha mwezi huu kwa heshima.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive