Wakaazi Kaptagat waombwa kukumbatia kilimo endelevu kuimarisha uhifadhi wa msitu

  • | NTV Video
    203 views

    Wakaazi wanaoshi kando ya msitu wa Kaptagat katika kaunti ya Elgeyo Marakwet wametakiwa kukumbatia mbinu mpya za kilimo kama njia moja ya kupunguza shughuli za kibinadamu katika msitu huo ili kuimarisha juhudi za kuuhifadhi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya