Wakaazi wa eneo la Oltiasika, Kajiado Kusini walazimika kutembea mbali kutafuta huduma za matibabu

  • | Citizen TV
    156 views

    Wakaazi wa eneo la Oltiasika Kajiado kusini wanataabika baada ya zahanati iliyokuwa karibu nao kufungwa kutokana na mafuriko.