Mtangazaji mkongwe na mashuhuri Leonard Mambo Mbotela aaga dunia.

  • | Citizen TV
    976 views

    Mtangazaji mkongwe na mashuhuri Leonard Mambo Mbotela ameaga dunia. Kulingana na familia Mbotela amefariki leo mwendo wa saa tatu unusu asubuhi wakati akipokea matibabu katika hospitali ya Niarobi West. Mbotela alikuwa mtanagazi wakutajika wa shirika la habari la VOK kabla ya kubadili jina na kuwa KBC. Alianza utangazaji wa kipindi maarufu cha je, huu ni uungwana? mwaka wa 1996, kipindi ambacho kilivuma kwa miaka 55.