Mwanamume auawa na ndovu eneo la Igembe North

  • | Citizen TV
    258 views

    Familia ya Mwanaume Mmoja aliyeuliwa na Ndovu akiwa Shambani kijiji cha Muliuntune, Eneobunge la Igembe North inalilia haki kutoka kwa Idara ya wanyamapori KWS.