Wakaazi wa Meru watoa maoni mseto baada ya mwangaza kubanduliwa

  • | Citizen TV
    1,689 views

    Kufuatia Hatua ya Seneti kuafikiana na Uamuzi wa bunge la Kaunti ya Meru na kumbandua Kawira Mwangaza kama Ngavana, Wakaazi wa kaunti hiyo wana hisia mseto. Baadhi ya wakazi wameonekana kufurahia uamuzi. wakazi hao wanaiomba mahakama kutilia maanani matakwa yao iwapo mwangaza ataelekea mahakamani.